Wadau majuzi kuna mtu alipost uzi humu kuhusu kifaa cha kutambua mtu kama anadanganya!
Sikumbuki ni jukwaa gani maana nilisoma juu juu na sikuimaliza topic yote, kurudi tena jion yake nikashindwa...
Hello,
Wadau nimepanga kwenda kujivinjari kumbi za kilimanjaro kempiski bei za msosi kwa average ni tsh ngap? Kwa wanaojua tafadhali...Ili nijipange mapema kimshiko.
Hlf pia naomba mnijuze bei...
Mimi ni mteja wa Azam TV kwa muda wa siku nne naona kuna chanels zingine zimeondolewa. Mfano Kombat Sports, baadhi ya fox sports n.k. Kama msipozirudisha najiondoa kama mteja wenu.
Jina la Yesu litukuzwe milele na milele!
Tunaendelea tena na somo hili la: “Mambo unayohitaji kuyajua kuhusu ndoto unazoota ili iwe vyepesi kufanikiwa kimaisha”
Leo nataka nikujulishe kimafundisho...
Kwa mliofika muhimbili siku mbili hizi mtagundua kwamba kuna katizo la umeme ati sababu ya shoti iliyotokea tangu jana mchana na kulazimika maeneo mengi zikiwemo wadi kugubikwa na kiza
sanjari...
Kumekuwepo na mijadala kwenye mitandao ya kijamii inahusu mzee huyu anayefahamika kuwa ndo aliyebuni nembo na taifa ambaye saa hivi anapokea matibabu muhimbili kwa hisani ya serikali, ila kuna...
Nadhani hawa jamaa ni manyang'au toka Kenya. Ki ukweli wananihabarisha sana mambo mbalimbali yanayojiri hapa Tanzania na East Africa kwa ujumla.
Sidhani kama kuna chombo cha habari Tanzania...
Mheshimiwa Waziri Kairuki kwanini watumishi wa serikali za mitaa na mashirika ya umma pekee ndo wa meondolewa kazini wenye vyeti feki?. Mbona wa serikali kuu wameachwa wanapiga kazi na kupokea...
Why
Mkakati wa ACT maendeleo umeshakamilika.
Waone kina Mkumbo.
Mbowe ndio kabisaa sina imani nae , leo UKUTA kesho KATA FUNUA , zote zinafia njiani.
Wht I believe Hatuna Chama Pinzani tuna...
Wakuu habarini za saa hizi
Katika uteuzi wa jpm umenipa maswali kidogo kwasababu kuu kadhaa
1. Je katika chama cha mapinduzi hakuna watu wenye uwezo wa kuwa wakuu wa mikoa mpaka waende kuchagua...
Wakuu habari za wakati huu nafikili kichwa cha habari hapo juu kinajieleza chenyewe, ni hivi karibuni nilitembelea kijijini njopeka ipo mkoa wa pwani kusini mwa nchi yetu, nilienda kwa matembezi...
Bwana Yesu asifiwe sana!
Leo tuangalie jambo la 3, katika yale ambayo ni vyema ukayafahamu juu ya ndoto, ili uweze kufanikiwa kimaisha.
Jambo hilo la 3 ni hili: “Zijue Ishara zitakazokuonyesha ya...
Za asubuhi wananzengo wenzangu,
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikitatizika sana mimi kama mlipa kodi wa nchi hii.
Naiuliza TRA Mwanza wana uhusiano wowote na SITTA Supermarkert iliyopo maeneo ya...
Iwe ndani ya nchi yako au nje naamini ulishawahi kukutana na utaratibu au utamaduni mpya ambao haujawahi kufikiria kama upo duniani. Tupeane uzoefu inaweza kuwa msaada kwa mtu atakayekutana na...
Hivi Tigo wanamaana gani kutumia neno 'Ujazwe' badal ya 'Ujaziwe', haya ni maneno mawili tofauti naamini. Kwakuwa inayo jazwa ni simu na sio wewe, hivyo wanakujazia na sio kukujaza. Tigo...
Huwezi ukaenda una shida hata ya RB wanataka pesa, hivi karibu niliibiwa mbao sehemu. Nafika bila aibu anataka alfu 30 akakamate mwizi, nikawambia na bajaji, nawajua wahusika, ni aibu sana...
Binadamu yeyote ili ukamilike unatakiwa kuwa na nguvu zifuatazo, nguvu zimepangwa kwa namba kutokana umuhimu wake.
Hivyo inayoanza na namba ndio muhimu kwa mtiririko huo.
1. Nguvu za kiroho
2...
Habari zenu ndugu zangu wanajf! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yenyewe.
Ukweli ni kwamba, Mnamo tarehe 13/10/2014 nilipotelewa na Bag langu ndani ya basi la Abood. Nilikua natokea moro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.