Swali la ufahamu..hivi watoto wanaozaliwa njiti huanza kuhesabu birthday mwezi wa saba au wa tisa?

nini maana ya birthday?..
TAHADHARI-Usigoogle kutafuta jibu maana hata wao hawana
 
Aiseeh....
Tunahesabu miaka aliyoishi duniani.
Sasa miezi ya kuwa tumboni mbona hamna uhusiano mkuu.
 
Back
Top Bottom