Kulazimisha wanawake kwenda clinic na waume zao

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,573
48,709
kuna hii hali ya vituo vingi vya afya kulazimisha wamama wajawazito wanapoanza clinic kwenda na waume zao.eti kama hutaki hupati huduma
je kama nimebakwa? kwani wote wenye mimba wameolewa ? huu niuonevu
inabidi wamama wakodi wanaume ili wapate huduma
 
Huwa wanajaribu Ku match uwiano kati ya dume lililompanda jike na kumpa mimba na jike lililobeba mimba kama wanaendana!
Yaani kama shilawadu flani hivi,
Unakuta jibaba bonge fupi jeusi tii lina likitambi na midevu mingi macho mekundu,
Halafu limekapa mimba kabinti kadogo kembamba keupe kazuri kiasi kwamba wakisimama ni kama mtu na marehemu babu yake.!
(Huo ni mtazamo wangu)
 
a ha ha ha wanataka watathiminishe ana kazi gani mumeo wakijua tu zarau zake sasa au hata kujigongagonga km ana pesa wana mambo.
 
Ndo hvo eti,na hata kama uinataka uhudimiwe haraka we nenda na mwenzi wako hata yule aliewahi saa moja ataachwa.
 
Hahaaaas daaa Mungu anakuona
 
inawahusu nini?
a ha ha ha wanataka watathiminishe ana kazi gani mumeo wakijua tu zarau zake sasa au hata kujigongagonga km ana pesa wana mambo.
 
Nia huwa ni njema tu na lengo ni kuwasaidia nyinyi wenyewe wanawake!
Ukienda na mwenzie wako angalau inakuwa rahisi mwenzie wako( mwanaume) kujua maendeleo yako na kupewa ushauri kwa pamoja!
Somehow inamfanya mwanaume kuwa karibu na maendeleo ya afya ya mkewe
 
kama sina mwenza je?
 
Alafu na nyie wanaume wenzangu achezi uboya kwenda clinic na mkeo nayo mpk mlazimishe pia acheni udaresalam bn
 
Ndo hvo eti,na hata kama uinataka uhudimiwe haraka we nenda na mwenzi wako hata yule aliewahi saa moja ataachwa.
Huo ni utaratibu mzuri sana hata kama kuna maambukizi itakuwa ni rahisi kuweza kuangalia tatizo lipo wapi na wataaanzaje kulishughulikia sasa mama ameenda peke yake anapimwa ana tatizo anaanza kushughulikiwa yeye akienda kwa mume au bwana anarudisha tatizo mie naona ni sawa tu waende wote.
 
Back
Top Bottom