Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Hii nimeiona kwa baadhi ya wachungaji akiwemo Rwakatale, Gwajima, Davie na yule wa Sloan. Lakini wakati mwingine hawa wachungaji ukiwakuta mitaani wanakuwa hawana ulinzi wowote, je pale madhabahuni huwa wanazingatia itifaki au ni mbwembwe tu za kimwili? Naomba kuelimishwa, amen.