Kwanini Wanaume wanaomiliki au kuendesha Gari za Vitz na IST wanadharaulika sana na akina Dada?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Rejea tu Kichwa cha Habari hapo juu na karibu utiririke na userereke.

Nawasilisha.
 
FB_IMG_1449673122879.jpg
 
Sidhani kama ni kweli... wanawake wanavyopenda magari/usafiri... kitendo cha kuwa nalo tu , wanapagawa shobo kibao...

Ukikutana na mwanamke anadharau kwa gari ulilokuwa nalo, huyo kwao yapo wamepaki ya gharama zaidi ya lako... zaidi ya hapo, kitendo cha wewe kuwa unapanga foleni sheli hawajali...


cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom