getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,821
Wakuu.
kuna jambo linatia shaka kuhusu RL hivi hii ipo kwa manufaa ya nani?
kama ipo kwa ajili yetu.ili kuliongezea taifa pato mbona inapotoshwa makusudi?
Hivi ni kweli wahusika hawaoni kuwa haiko sawa katika ukisanyaji wake?
mfano:
magari yaliyo vijijini yasiyopita barabara kuu nani anakagua RL?
lakini pia kuna magari ni mabovu na yamepaki garage muda mrefu sana je tuna uhakika gani kuwa yalitumia barabara zetu?!
kwanini kodi hii haiwekwi katika mafuta? Ili anayetumia gari yake ailipe pale tu anaponunua hayo mafuta ambapo bila shaka hawezi kukwepa?
Kuna hoja kadhaa zinazuka..
1: serikali ilishafanya utafiti wa jambo hili na kuwatuma wataalamu wake Nchi kadhaa kufanya utafiti walirudi na majibu utekelezaji........
2; katika magari yanayotumia mafuta magari ya serikali pia yapo hivyo kwa kuingiza kodi hiyo kwenye mafuta maana yake serikali pia itakuwa inalipa kodi na hapa serikali inaweza kuwa na idadi kubwa zaidi ya magari (mtazamo)
3: aina ya watu tulio nao kwenye vitengo hivi sio watu sahihi,