MorTimer
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 1,195
- 965
Wakuu kama nyota hapo inapojieleza mimi pia nimezaliwa kati ya miezi hiyo....Inawezekana kweli sijatoboa kisawasawa kwa kutokuwa na tabia ya kuhonga.....!!! Tuliozaliwa kati ya hiyo miezi vipi upande wenu ukoje ili na mimi leo nianze kumwaga fwedha....!!!