GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Kuna Kampeni moja ambayo naweza kusema ni ya Kipuuzi / Kiupupu inayoendelea katika Shule ambayo ni ya kuwasaidia Wadogo zetu wa Kike kwa kuwapa Taulo zao za Kike ( Sanitary Pads / Sanitary Towels ) Uswahili tunaziita Pedi / Mkate wa Wanawake.
Yawezekana kabisa walioanzisha hii Kampeni wakawa na Hoja mahala fulani ila Mimi leo najitoa mhanga kupingana nao hasa kwa Uwongo wao ambao kutwa wanajitahidi kuueneza kuwa Watoto zetu hawa Kike / Wadogo zetu wanafeli huko Shuleni kwakuwa wanakosa hizi Taulo zao za Kujisitiri hasa wawapo Hedhini / katika Siku zao za mzunguko wa mwezi za Kike.
Hivi leo unaposema kuwa mnawasaidia hawa Mabinti / Dada zetu hizi Taulo zao ili muwasaidie katika ufaulu wao ambao mnadai kuwa kutwa unashuka mnamaanisha nini? Hivi miaka ya huko nyuma ( zamani zile ) Mama na Dada zetu ambao wengi wao walikuwa Vipanga / Werevu Shuleni nao walikuwa wanatumia hizi Taulo zenu? Mbona ufaulu wao ulikuwa ni mkubwa / wa juu mno japo walikuwa na mazingira magumu na ya shida?
Nitakuwa wa mwisho kuukubali huu Upotoshwaji tunaolazimishwa kuuamini kuwa moja ya sababu kubwa ambayo inawafanya hawa Wadogo / Dada zetu kufeli Masomo yao huko Shuleni ni kutopata hizi Taulo zao za Hedhi ila mkiniambia kuwa wanafeli kutokana na UPOPOMA / UPUMBAVU wao uliowatukuka na ambao pengine wengi wao wameurithi kutoka Kwetu sisi Wazazi wao nitakubaliana nanyi tena kwa 100% kabisa.
Enyi Waandaji wa hii Kampeni tafadhalini sana siku nyingine mnapojua kuwa mnakuja na vitu hivi vya hovyo hovyo / kijinga kijinga jueni kwamba Tanzania ya leo kuna Vipanga kibao ambao wanaweza kufikiri na kutafakari mambo kwa marefu na mapana yake na msirudie tena kuja na aina yenu hii ya Upupu / Upuuzi kwa Umma / Jamii.
Zipo sababu nyingi ambazo zinawafanya hawa Mabinti wafeli na yawezekana hii sababu yenu moja ambayo kutwa mnaikazania huku ikiwapatieni tu umaarufu wa KIPOPOMA ikawa ina 0.5% kati ya sababu kadhaa ambazo ndizo zina umuhimu.
Katika vitu ambavyo GENTAMYCINE huwa nachukia na sivipendi ni Kudanganywa kwa hoja nyepesi kabisa wakati mwenyewe najielewa. Halafu na cha kusikitisha kabisa hadi Wazazi nao wameshaambukizwa huu UPOPOMA nao wameamini 100% kuwa Mabinti zao wanafeli Shuleni kwa kukosa Taulo za Kike / Pedi.
Nimemaliza na Sindano ya GENTAMYCINE leo iwaingieni vilivyo. Mijitu mizima kabisa na yenye akili zao inasimama huku ikiwa imevaa Tai na kuanza kuongea tena kwa kusisitiza kuwa Wanafunzi wa Kike wanafeli Shuleni kwa kukosa Pedi. Miaka ya 30's, 40's hadi 80's Pedi zilikuwepo? Mbona ufaulu wa Dada na Mama zetu ulikuwa ni wa juu mno?