Technologia hatari kwa nchi kama tanzania,Mungu tuepushe

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,012
Narudia hii ni hatari sana,inaweza kufunga watu jela waio na hatia,kuvunja ndoa na kubwa zaid kufunga wanasiasa kama kawaida ilivyo kwa nchi za Kiafrika
Mimi kiukweli sina Imani na nchi yetu kwenye maswala ya kujiupdate kiteknolojia ,naona tuko manual sana na sio kidigitali na hata watendaji wenyewe type za Kina Daud Bashite wanakataisha tamaa sana
Okay straight to the point,soma kwa makini uone hii face swap ya FACE 2 FACE ilivyo hatari,good news nasikia inataka kuzuiwa isitoke maana bado ipo kwenye BETA stage
Embu fikiria inaonekana video umekaa na rafiki zako mnapanga tukio la kihaini dhidi ya serikali,utajiteteaaaje wewe?Lumumba siki hiyo patalipukwa kawa shangwe maana hapo ukimpata BABU AYUBU,STEVE NYERERE wakaigiza na sauti mchezo umeisha
 
Back
Top Bottom