GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Mtafiti mmoja huko Massachusetts Marekani ya Kaskazini ( jina lake limehifadhiwa ili kumlinda kutoka kwa wale ambao watapovuka na utafiti wake huu ) ambaye ni Mtaalam pia wa masuala mazima ya Saikolojia amesema kwamba ukiona Mtoto yoyote mwenye kati ya miezi 6 hadi hadi miezi 9 ana hizi dalili zifuatazo:
Je Wataalam wa haya masuala ya Saikolojia ya Uzazi hapa JF hili lina ukweli au Mtafiti huyu amekengeuka / amepotoka tu?
Nawasilisha.
- Analia lia sana
- Usiku halali
- Anakojoa kupitiliza
- Anatoa sana haja kubwa usiku
- Hataki kubebwa na wengine isipokuwa Mama yake tu
- Ananyonya mno maziwa
- Anapenda kumng'ata Mama yake maziwa hadi anamuumiza
Je Wataalam wa haya masuala ya Saikolojia ya Uzazi hapa JF hili lina ukweli au Mtafiti huyu amekengeuka / amepotoka tu?
Nawasilisha.