Kuchafuana Kwa Bosi

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
939
1,000
Hbr Zenu Jf.Leo Kuna Baridi Kali Sana.Jamani Kuna Baadhi Ya Watu Wanapenda Kujipendekeza Kwa Watu Wenye Pesa Ili Wasifiwe Hata Ndugu Saa Nyingine Huchafuana Kwa Mwanandugu Mwenye Uwezo Ili Wao Wawe Juu Hata Kwa Waganga Huenda Ili Kuharibu Hali Ya Hewa Tatizo Ni Nini Kuna Watu Wenye Miroho Mibaya Tatizo Nini? Karibuni [HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] Usikose Kukomenti Jambo.
 

Clkey

JF-Expert Member
May 29, 2014
5,429
2,000
Aiseee umenikumbusha jana tulipishana kauli na staff mwenzang baadae kuna mmoja akaenda kwa boss kuchochea roho iliniuma sana ila nilichowaambia ni hvi anayetoa riziki ni Mungu pekee kamwe binadamu hawezi izuia, binadamu wana mambo ya ajabu sanaaa, hakuna la maana zaidi ya roho mbaya na kutaka mwenzako asifanikiwe
 

mimi mkali

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
1,802
2,000
Kuna jamaa nafanya nae kaz yaani anavyojipendekeza kwa boss (mwanaume mwenzie)I wishi ai kuldu bi boss ningemla makalioni.
 

NONIYANG'WAKA

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,213
2,000
huo umbea na kuharibiana kazi ni huko tu private na mawizarani kwenu mnakolipana posho!!

huku kwetu ukinizingua nakuroga unaota mavu*i yenye funza.

thubutu
 

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,158
2,000
Sio Kama nawanyanyapaa wanawake wakishajaa kwenye offisi moja alafu Kila mmoja anapenda slope aka kitonga inabidi ufunge mkanda kweli kweli. Wanapenda vimaneno maneno majungu majungu na uchonganishi usipoangalia inaweza kula kwako hasa likiwepo dume ambalo alijitambui likawa ndio pika majungu kuu.
 

sam leon

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
893
1,000
Hbr Zenu Jf.Leo Kuna Baridi Kali Sana.Jamani Kuna Baadhi Ya Watu Wanapenda Kujipendekeza Kwa Watu Wenye Pesa Ili Wasifiwe Hata Ndugu Saa Nyingine Huchafuana Kwa Mwanandugu Mwenye Uwezo Ili Wao Wawe Juu Hata Kwa Waganga Huenda Ili Kuharibu Hali Ya Hewa Tatizo Ni Nini Kuna Watu Wenye Miroho Mibaya Tatizo Nini? Karibuni [HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] Usikose Kukomenti Jambo.
Alama za uandishi


 

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
939
1,000
[HASHTAG]#mitale[/HASHTAG] Wanawake Maofisini Sio Siri Ni Mitihani Dawa Yao Kuwapitia Mmoja Baada Ya Mwingine Ngebe Kwisha
 

Clkey

JF-Expert Member
May 29, 2014
5,429
2,000
Sio Kama nawanyanyapaa wanawake wakishajaa kwenye offisi moja alafu Kila mmoja anapenda slope aka kitonga inabidi ufunge mkanda kweli kweli. Wanapenda vimaneno maneno majungu majungu na uchonganishi usipoangalia inaweza kula kwako hasa likiwepo dume ambalo alijitambui likawa ndio pika majungu kuu.
Aiseee hata wanaume baadhi yao wambea sana, hapa kwetu wanawake tuko wawili tu katika wafanyakazi kama mia na kitu lkn yule mwenzang sijawahi msikia ananisema ila wanaume sasa akija ofisini anataka kitu ukimwambia nipe muda nna kazi tayari keshaweka bifu na ww, ukifatwa na mpenzi wako kazini maneno hawana dogo kabisaa, kwa hyo sio wanawake tu hata wanaume nao pia
 

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,120
2,000
Nyinyi wenyewe hapa mnapiga watu majungu (ingawa kwa kutumia key board) maana mliowengi hapa mmeandika kilichowahi watokea maishani au mlishuhudia kikitokea au mlisimuliwa.

Kabla ya kutoa boriti kwenye jicho la mwenzio jitizame kwanza wewe na boriti lililo jichoni kwako.
 

killo

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
402
225
Hehe Leo mmenikuna haswaaaaa......

Tunae mmoja huyo, Kwanza kila kitu anajua yeye... Akisikia kitu tu kakimbia kwa boss kusema achukulie point.
Sasa ukute kuna kaji-project umepewa, atajitahidi akuulize ulize ili atangulie front kusema na utakapokwenda wewe kutoa progress watu wasiwe amused.

Hapo kwenye majungu ndo usiseme asee, ni shida.. Ashawahi kutilia majungu Perdm isipande na sijui eti risiti za taxi wananunua kwa madereva sijui nini... yaani ni sheda asee...

Mimi huwa naoa labda kajiwekea kichwani kwake kwamba kwa wiki mara 2 au 3 lazima apeleke habari/umbeya w/yoyote kwa boss ili aonekane wa muhimu... Sasa ukimkuta anatafuta cha kusema ndo lazima ajitie yuko karibu na nyie apate habari... Loh

Pia hujitia anajua kazi ya kila mtu na kazi za wengine wote ni ujinga na rahisi sana ila zake yeye peke yake ndiyo ngumu...

Kuna mengi mengine ila naona napata hasira kuongelea ngoja niache..!!!!
 

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
939
1,000
BAADHI YA MABOSI PIA HUTAFUTA STAFF DHAIFU NA KUMTUMIA MM HUWA NAWADUKUA KIAINA PALE STAFF HLF KIMYA KIMYA NAKOMESHA MAE MAMBO YA S@%P$;Y CAM NA VISHWIKZOOOO NIPM LKN MI SIMO [HASHTAG]#Adrenaline[/HASHTAG] Nyingi Ikikuzidi Nguvu
 

madukwappa

JF-Expert Member
May 7, 2014
1,888
1,500
alooo kuna watu maofisini kwa umbea wanatisha mpaka wanakera yaani full uchonganishi na wanaweza kukuharibia kazi kabisaa kama BOSS atakuwa mbumbumbu.

kwa wanawake sasa, aseh ni mwendo wa kujipendekeza kwa boss ili maisha yawe ya mteremko kwake mwishowe wanatandikwa mimba na UKIMWI JUU.

kwenye uchawi aseh ndo hatari hasa ofisi za umma, yani mtu amejaa chale utadhani mti wa kugema mpira??? amejifunga mahirizi kama sangoma??? :D:D:D:D:D:D:D:D:D
 

lulu za uru

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
1,038
2,000
Stafu mwenzetu mmoja kila kitu alikuwa anajua ngeli, kazi umbeya,yaan tulikuwa tunamuita rangi saba..hajuagi kujishusha ukaja ugeni Wa kiingereza presentation tukamchagua ghafula likaumwa mbio mbio kwa boss kuomba ruhusa boss akamwambia anamuhitaji sana kwa hiyo shughuli yaan broken aliyotumia siku hiyo kuna wenzetu watatu walivunjika miguu.. ..siwez kusahau kidogo ajikojolee kwa kutetemeka! Baaday kwenye tathimini boss akamchana mbele uetu ule ukawa mwanzo Wa yeye kuishi kwa adabu ashukuriwe Mungu aliyeleta ile presentation Leo ni MTU poa huwa tunamkumbushia anajibu ilikuwa utoto mwingi!...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom