UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Katika Pitapita Zangu Mtaani Nimemkuta Jamaa Anafurahia Ndugu Yake Kuteseka Mtaani Kisa Eti Tu Ndugu Yao Yupo Katika Kundi Fulani La Imani Madhehebu Tofauti.Anae Mchukia Tajiri Anaechukiwa Hohehahe. Basi Hohehahe Akitembeza Ndizi Mtaani Tajiri Anashawishi Watu Wasinunue Ndizi Zake Kwa Kumchafua Ndugu Yake Kwa Maneno Mabaya Mtaani Mpaka Nduguye Analala Njaa.Je,ni Sawa?