omereyo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 308
- 91
Mm Nina experience ya miaka 5 kwenye Kampuni flani.Unafanya kazi ya mkataba.Nina degree ya biotechnology kutokana Sua.siwezi kusoma zaidi itabd niache kazi.kazi hii ni ya udhia mwingi ila mshahara wa waarabu pasipo posho wala ot.nifanyeje jamaniiii.nipo dar