Share holder wa kampuni ambae hajalipia share zake

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
16,420
30,793
Salama wakuu? Nina swali. Share holder wa kampuni binafsi ( Private Company Limited By Shares ) ambae alikuwa bado hajazilipia share zake na anataka kujitoa kwenye kampuni, anatakiwa kufuata procedure gani ambayo itakuwa na faida kwake ? With much thanx in advance . Cc : peter E Msewela et al
 
Back
Top Bottom