Mkuu ungepinga vigezo walivyotumia sio kutoa mawazo yako ya jumla jumla tu. Kumbuka hiyo ni research na ilizingatia vigezo vilivyowekwa.Hizo report Za watu wenye Furaha Ni propaganda Za wazungu!!
Kama wao wanaongoza kwa kuwa Na watu wenye Furaha kwanini kuna report Za kiwango cha juu Za watu wenye msongo wa mawazo Na kujiua??
Nipeni msaada wa kufika huo sitaki longo longoHizo report Za watu wenye Furaha Ni propaganda Za wazungu!!
Kama wao wanaongoza kwa kuwa Na watu wenye Furaha kwanini kuna report Za kiwango cha juu Za watu wenye msongo wa mawazo Na kujiua??
Shida ya Afrika Ni kuamini kila kitu Mzungu anachochapisha!!!Mkuu ungepinga vigezo walivyotumia sio kutoa mawazo yako ya jumla jumla tu. Kumbuka hiyo ni research na ilizingatia vigezo vilivyowekwa.
1. Upatikanaji wa ajira na suala zima la kipato. Hapa wamedhania kwamba kama mtu atakuwa na ajira na kipato chakueleweka basi hatokumbwa sana na msongo wa mawazo.
2. Umri wa kuishi. Hapa wameweka nadharia kwamba watu wenye uhakika wa huduma za afya na vile watu wanaweza kuuishi maisha marefu basi inasaidia kupunguza hofu watu kufariki hovyo hata kwa magonja yanayotibika kirahisi tu
3. Upatikanaji wa usaidizi katika maisha hususani kutoka katika familia. Hapa wameweka nadhania watu wanaoishi kwa upendo na ukaribu na familia zao pamoja na marafiki ni rahisi kupata usaidizi pale wanapokumbwa na matatizo ya msongo wa mawazo na kukosa furaha.
4. Uwepo au kutokuwepo kwa rushwa katika huduma za kijamii. Hapa wamedhania rushwa siku zote hutaabisha watu na kujikuta wakikata tamaa kwa kukosa haki zako katika taasisi za kijamii.
Sasa tumia akili yako je hapo Tanzania inaweza kuwa na watu wenye furaha kama Norway, Denmark, Luxembourg?
Utaenda kufa kwa msongo wa mawazo Na upweke!Nipeni msaada wa kufika huo sitaki longo longo
Mkuu twende tu taratibu.Shida ya Afrika Ni kuamini kila kitu Mzungu anachochapisha!!!
Kwenye hizo points zao wameweka idadi ya watu wenye msongo wa mawazo?? Upweke?? Nk?? Kwa taarifa yako tu Ni kwamba Sweden inavyo vituo vingi Na vyenye wateja wengi wenye ugonjwa wa msongo wa mawazo Na upweke!!
Sasa hebu niambie, kwa hiyo akili yako, kuna uhusiano gani Kati ya msongo wa mawazo Na Furaha???
Je, inawezekana vipi watu wawe Na msongo wa mawazo huku wana Furaha??
Ukitafuta taarifa utaona kwamba kila mwaka nchini Swedeni, kuna watu zaidi ya 200 wanao kufa kwa sababu ya ugonjwa wa msongo wa mawazo Na upweke!!
Achakupingana na ukweli we bashite.we hapo ulipo unafuraha?sio twaweza hiyo inayowabebagaHizo report Za watu wenye Furaha Ni propaganda Za wazungu!!
Kama wao wanaongoza kwa kuwa Na watu wenye Furaha kwanini kuna report Za kiwango cha juu Za watu wenye msongo wa mawazo Na kujiua??
Utaenda kufa kwa msongo wa mawazo Na upweke!
Bora ubaki bongo ule dona kwa furaha!!
kachukue visa kata ticket uendeJaman nahitaji kwenda Sweden huko watu wanakoishi kwa furaha maana hapa Bongo unaweza kufa umesimama jinsi hali iliyokuwa mbaya..
Aliyokwambiya huko Sweden ndy kuna maraha nani?Jaman nahitaji kwenda Sweden huko watu wanakoishi kwa furaha maana hapa Bongo unaweza kufa umesimama jinsi hali iliyokuwa mbaya..
Mil 6!!! huu si mtaji wa maana kabisa.Tengeneza passport, tafuta watu wanaotengeneza visa.....na kumbuka hadi upate visa na kusafiri gharama yake sio chini ya million sita tzsh. Na viza ya kuja Sweden moja moja ni ngumu kupata. Inabidi upitie nchi nyingine kama France, Spain nk, ukifika kwenye hizo nchi ni rahisi kuingia Sweden