D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,193
- 3,325
Mtu mmoja aliyejifanya hojaji ameiba kisanduku kilichokuwa na mabaki ya ubongo wa Mtakatifu John Bosco katika kanisa la Casstelnuovo Italia.
Once a thief always a thief....Mtu mmoja aliyejifanya hojaji ameiba kisanduku kilichokuwa na mabaki ya ubongo wa Mtakatifu John Bosco katika kanisa la Casstelnuovo Italia.
Hayo mabaki ya ubongo yalihifadhiwa kwa sababu gani?Mtu mmoja aliyejifanya hojaji ameiba kisanduku kilichokuwa na mabaki ya ubongo wa Mtakatifu John Bosco katika kanisa la Casstelnuovo Italia.
Na nyie mabaki ya Ubongo mnatunza ya nini. Mnatambika???Mtu mmoja aliyejifanya hojaji ameiba kisanduku kilichokuwa na mabaki ya ubongo wa Mtakatifu John Bosco katika kanisa la Casstelnuovo Italia.
Once Upon The Time........
Mmhh hii habari ni ya kweli???
Mbona maajabu uo ubongo unahifadhiwa wa nini????
Na nyie mabaki ya Ubongo mnatunza ya nini. Mnatambika???
Wakuu mkipata jibu fanyeni kunitag.Hayo mabaki ya ubongo yalihifadhiwa kwa sababu gani?
Hayo mabaki ya ubongo yalihifadhiwa kwa sababu gani?
ahahaaaaaa cheka mpaka uzimieUBONGO MTAKATIFU,WACHA NICHEKE HUKU NAKUNYwA MTINDI BAADA YA FUTRU
eti ni ubongo mtakatifuAibe tu, mabaki ya ubongo yatakaaje kanisani sasa kwani ni maabara ya madaktari? Aibe tu nasema tena aibe.
Ewah! Mtambiko huo!Na nyie mabaki ya Ubongo mnatunza ya nini. Mnatambika???