Boxing gym Mbagala Rangitatu

DOKEZO

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
322
496
Habari wana JF.

Naomba kuulizia kwa yeyote anayefahamu Boxing Gym iliyopo maeneo ya mbagala rangi tatu na viunga vyake vya karibu kama Zakhem,Kokoto n.k basi anijulishe hapa eneo ilipo hiyo gym.
Nimejaribu kuulizia na kutafuta sana manually ila sikufanikiwa kupata boxing gym yoyote kwa anayefahamu naomba anipe maelekezo ni mahali gani ipo na ikiwezekana hata mawasiliano na wahusika wa gym hiyo ili iwe rahisi kuwasiliana nao na kufika mahali hapo.
Ahsanteni.
 
Kuna jamaa ana patikana maeneo ya viunga vya Facebook na instagram anaitwa ANTONY JOSHUA mtafute huyo ata kupa maelekezo ya kutosha..
 
Duh.ha ha aya mkuu ila mi Niko siriaz mkuu
 
Habari wana JF.

Naomba kuulizia kwa yeyote anayefahamu Boxing Gym iliyopo maeneo ya mbagala rangi tatu na viunga vyake vya karibu kama Zakhem,Kokoto n.k basi anijulishe hapa eneo ilipo hiyo gym.
Nimejaribu kuulizia na kutafuta sana manually ila sikufanikiwa kupata boxing gym yoyote kwa anayefahamu naomba anipe maelekezo ni mahali gani ipo na ikiwezekana hata mawasiliano na wahusika wa gym hiyo ili iwe rahisi kuwasiliana nao na kufika mahali hapo.
Ahsanteni.

Unataka kuanza kupiga roba nini
 
ILE BARABARA YA KWENDA BIAS KULIKUWA NA ENEO LA MAZOEZI.SIJAJUA KAMA BADO WAPO
 
Back
Top Bottom