four eyes
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 905
- 1,406
Mambo vp wadau,kwa wale wapenz WA TV Bila Shaka mtakuwa wengi wenu mmeshawahi kutupia jicho clouds tv kama mnavyotupia jicho TV zingine
Katika kufanya hivyo binafsi nimegundua clouds tv Wana tatzo LA kupwaya kwa vipindi kwa maana ya kutokuwa na vipindi vya kutosha ktk TV Yao,tofauti na walivyojiimalisha ktk redio kwenye TV bado hawako vizuri pamoja na kuwa TV Yao Ina Muda mrefu hewani.
Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia wakilazimika kuchomekea miziki au vitu visivyo na umuhimu au ulazima ili kusogeza Muda WA kukifikia kipindi fulani au kuivuka tu siku.
Wito wangu ni kwamba clouds media ni chombo chenye wabunifu wengi na wanahabari mahiri its high time now wajitahidi kuweka vipindi vya kutosha kwenye TV Yao badala ya kufikiria tu kujitanua zaidi na kuongeza TV wakat bado clouds tv haijashiba vipindi.
Karibuni wadau wenye lolote LA kuchangia hasa kwa wale ambao wamegundua tatzo hili.