Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,441
Ramadhani kareem
Nakumbuka wakati utawala wa awamu ya 5 unaingia madarakani na rais Magufuli kuja na mtindo wa kutumbua watumishi,alivutia Watanzania wengi Sana kwenye TV muda wa taarifa ya Habari
Bar nyingi zilijaza watu kuangalia taarifa ya Habari na watu walishangilia Sana pale inapotangazwa habari ya kutumbuliwa mtu
Je Watanzania bado mnajazana kwenye TV kumwangalia Pombe akitumbua au ndo mmeacha???