Eliya Dawa
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 270
- 164
habari zenu member!
kuna swali naliomba kuuliza "wizara ya nishati na madin"
hivi hapa tarime tunatumia umeme wa gridi ipi haiwezi kupita wiki umeme umetulia bila kukata karibu kila siku umeme unakata na ukiangalia sio kwamba unakatika bei ya luku inashuka hapana, naomba kujua kama Mh kasema asielipa kata umeme mbona sasa tanesco ya hapa Tarime wanakata wakti tunalipia na tunanunua umeme kila iitwapo leo?
nafikiri kuna haja sasa ya uchunguzi kufanyika juu ya hili
tarime maji shida, umeme shida sasa nchi hii ya viwanda umeme ukikatika kila mara viwand vitafanya vipi process ikiwa kila mara kuna visingizio vya umeme?
wahusika walione hilo na watupatie jibu sahihi kwa tatizo hili.
naomba mrejesho@