Fyongo za gazeti la Mwananchi

fakhbros

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
382
654
12cae3ecca35af052ac66be5c0f84317.jpg

Niliwahi kuandika kuhusu MAFURUKU"
Na Leo naandika Kuhusu SENGERETI
Najua jibu rahisi itakuwa ni makosa madogo madogo ya kiuandishi...
Sawa basi tupeni maana ya hili Neno SENGERETI maana ni Neno jipya katika lugha hii ya Kiswahili....
MCL nisaidieni mimi msomaji nahitaji Huduma yenye kiwango sio hii SENGERETI yenu...
 
Soma vizuri ulichokiandika.
 
Wajanja wanakwepa kuhojiwa kuhusu masuala ya kutangaza njaa bila kubali! Teh teh he eee!!
 
12cae3ecca35af052ac66be5c0f84317.jpg

Niliwahi kuandika kuhusu MAFURUKU"
Na Leo naandika Kuhusu SENGERETI
Najua jibu rahisi itakuwa ni makosa madogo madogo ya kiuandishi...
Sawa basi tupeni maana ya hili Neno SENGERETI maana ni Neno jipya katika lugha hii ya Kiswahili....
MCL nisaidieni mimi msomaji nahitaji Huduma yenye kiwango sio hii SENGERETI yenu...

Tokea Mwanahabari Nguli kabisa Richard Mghamba aondoke hapo MCL pamoja na Wahariri na Waandishi wengine mahiri kabisa waliobaki sasa ni balaa. MWANANCHI la miaka 10 iliyopita siyo hili la leo na wasipoangalia na Wao hawako mbali kuanza kudharauliwa kama UHURU na Tanzania Daima. Gazeti la Mtanzania wakiacha au kupunguza kidogo uchafu wao watakuwa wazuri kuzidi MWANANCHI.
 
Mkuu vitu vingine ni Errors za kiundanishi tu...Chukulia simple, sio big deal sana mpaka ianzishiwe mjadala mkubwa!
Mkuu daladala likivuja lazima abiria tulalame
MCL wamekuwa na fyongo kila Mara katika magazeti yao japo makosa mengine hatuyaripoti...
 
Mimi toka tv na radio zimeacha kusoma habari kwa ufupi zilizomo kwenye Magazeti nimeacha kununua Magazeti, kwa hiyo waache waandike hovyohovyo
 
Kwani hakuna sehemu inayoitwa Sengereti? Rudia darsa la geography
 
Tokea Mwanahabari Nguli kabisa Richard Mghamba aondoke hapo MCL pamoja na Wahariri na Waandishi wengine mahiri kabisa waliobaki sasa ni balaa. MWANANCHI la miaka 10 iliyopita siyo hili la leo na wasipoangalia na Wao hawako mbali kuanza kudharauliwa kama UHURU na Tanzania Daima. Gazeti la Mtanzania wakiacha au kupunguza kidogo uchafu wao watakuwa wazuri kuzidi MWANANCHI.
Kwani mtanzania lina uchafu gani
 
Mkuu daladala likivuja lazima abiria tulalame
MCL wamekuwa na fyongo kila Mara katika magazeti yao japo makosa mengine hatuyaripoti...
Usilalamike, ukiona daladala hilo linavuja mara kwa mara na ni msimu wa mvua shuka upande jingine ili safari iendelee...
 
Tatizo kijijini kwetu hakuna mwendo kasi ngoja tuendelee kulitumia tu
Magari mengine ndio BALAA kuna viti ambavyo kila uchao abiria yuleyule hata kama abiria mwenyewe ni mtukutu anapanda na viwembe kuchana siti lakini wahusika wanamuita chief
 
Kama ni hivyo, endelea tu kulalamika, huenda mmiliki wa basi akasikia kilio chako na kuziba panapovuja...
 
Kwani hakuna sehemu inayoitwa Sengereti? Rudia darsa la geography
hata kama hilo jina/eneo lipo inchi hii sina hakika kama VP alikuwepo huko unakodai siku chahe zilizopita mkuu, kwa hiyo unaweza kuona mleta uzi analalamikia nini ili uweze kumuelewa vizuri.
 
51854e9bedfeac15d10351f59683bdb7.jpg
Tokea Mwanahabari Nguli kabisa Richard Mghamba aondoke hapo MCL pamoja na Wahariri na Waandishi wengine mahiri kabisa waliobaki sasa ni balaa. MWANANCHI la miaka 10 iliyopita siyo hili la leo na wasipoangalia na Wao hawako mbali kuanza kudharauliwa kama UHURU na Tanzania Daima. Gazeti la Mtanzania wakiacha au kupunguza kidogo uchafu wao watakuwa wazuri kuzidi MWANANCHI.

Umesema ukweli kabisa, I was among the readers lakini siku hizi naona viwango sivyo kabisaa!!

Hivi equivalent ya TBS kwenye magazeti ni nani

Kuna nyingine hiyo hapo juu
 
Back
Top Bottom