Je Spika wa bunge wa south Africa naye anatoa adhabu kama ya Ndugai?

MPHINGU

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
519
1,000
Wakuu ukiangalia tabia za bunge na wa bunge wa upinzani wa tz na south Africa zina lingana haswa fujo na spika kuamua polisi waingilie kati. ninacho taka kujua ni kama spika wao naye anatoa adhabu ya kuwafungia kama anavofanya spika wetu NDUNGAI
 

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,290
2,000
Ndugai Mjeshi, ana Hasira kama Mkisi.
Na Wabunge wa CCM hawapendi Wabunge Wapinzani has a Wamama. Vijembe na Mipasho kama wako sherehe ya Vigodoro.
 

SACO

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,111
2,000
South polisi wanawajibika si uliona akina Malema wakila mkong'oto amazing
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom