Kwako Ewe mama Prof. Anna Tibaijuka na mbunge wa Muleba Kusini

malemwa

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
205
139
Salm wapendwa

Polen na kazi ewe mama na Mbunge wa Mleba kusin najua majukumu ni mengi na kupongeza!!
Nachukua fursa hii kukumbusha kuwa nimepita kwa wapiga kura wako nkakuta wananungunika hataree
Kilio chao kikubwa ni juu ya barabara ya kwenda Rubya naharufu km Kanyambongo hii barabara imeharibika mno na inareta kadhia kubwa saana kiasi cha watu wa maeneo ya
Lwagat Kashasha,Rubya,Ijumbi,Nshyambya Ruija
Wanateseka pindi wanapofanya safari zao kwenda wilayan Mleba khari inayosababisha Nauru kuwa kubwa mno
Lakin Mama hiyo barabara inatumika kubeba wagonjwa ambao wanakusa wanaitaji uduma kubwa pale inaposhindikana pale hospital ya serikali maharufu Kaigara ukijua Rubya ndo hospital teule ya Wilaya
Tafadhari mama liangalie kwa Umakin ukiangalia Mleba inamapato na inawezekana

Pili mama ni tatizo la migomba mama huu ugonjwa wa mnyauko umekuwa tishio ni miaka sasa licha ya kuwa na watu wasomi na vyuo vingi vya kilimo watu wamaomba upige Makeleme anglau uko Bungen ili tafiti zaidi zifanyike na wapate unafuu khali ni mbaya njaa kweli na kumbuka huw hawasaidiwi na serikali,debe la mahindi ni 25000 mama unapozungumzia Ndizi za Bukoba unazungumzia Nshamba,Kishanda Buganguzi Rubya,Ijumbi,Ruija
Na Kamachumu japo hapo sio pa kwako ila mnaweza shilikiana na Mwijage kuona cha kifanya
Ntashukuru sana huu ujumbe ukikufikia na Fikiri unakumbuka ulivyopiga Magoti kuomba barabara ya kwenda hospital teule ya Rubya
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Poleni sana watu wa Muleba maana kiuhalisia hamna muwakilishi, mna mpiga dili
 
malemwa poleni sana, zungukeni kupitia Nshamba maana hapo Kanyambogo tangu wakati wa Uhuru hadi leo hapajatengamaa.
Nje ya mada, vipi naweza kupata shamba "ekibanja" la kununua maeneo ya Buganguzi?
Ekibanja waweza pata ila utaweka nini kahawa ndo hivyo
Migomba ndo vile shigdaa
Mmmh Hadi Nshamba wacha tumkumbushe Mama
 
Hahahahahah.....mkulu wayenda kushuba omuka si......
Inya, eby'omumahanga byandema! Nimpiga ahokulelela abaijukuru, nimpiga ekibanja kyokugura umubyaro ebirikwatana na Rubya, Nshamba na kushagaho munoi Kamachumu.
 
Inya, eby'omumahanga byandema! Nimpiga ahokulelela abaijukuru, nimpiga ekibanja kyokugura umubyaro ebirikwatana na Rubya, Nshamba na kushagaho munoi Kamachumu.
Kurungi mno mkulu, nolwo oligya owakatonda tubone mbali tulakutabila eitaka..........teh teh teh. Ntelao enamba yawe PM tulebe ntukolaki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom