DAVID MHILU
Member
- Jun 6, 2017
- 10
- 4
1.Je Magufuri hakuwa anasikia malalamiko ya wapinzan bungeni kwa miaka 20 juu ya mchanga kusafirishwa nje ya nchi yeye kama wazir mshauri mkuu wa serikali alichukua hatua gani wakati huo ili kuzuia Taifa lisipate hasara?
2.je wakati ule Wapinzani walipo kuwa wakidai mikataba ya madini iletwe iwekwe wazi na kujadiriwa bungen yeye alisaidia serikali iendelee na usiri au aliunga mkono hoja za watetezi wa taifa hili
3.je unafikiri kwa kuwa wizi unaofanyika umeruhusiwa kisheria na wanaccm hawahawa wanaojifanya wenye uchungu na taifa hili kwa leo ili kupata suruhu itakayo tuweka salama tusilipishwe kama lile sakata la meli ya samaki je tuanze na mikataba yenyewe au tufanye kama tufanyavyo sasa yaan kuzuia kazi za wezi wetu zisifanyike?kumbuka japo samaki walikuwa wetu ila sheria zilitubana kumbuka pia japo dowans ni waizi wetu ila kwenye kesi wametushinda na tuliamliwa tuwalipe kwa kosa la kuvunja mkataba