Kutoa kwa vipi? Monthly pension au?habarini za asubuhi ndugu,
Mi nataka kujua tuu kama haya mashirika ya hifadhi ya mifuko ya kijamii yanatoa hela za wanachama wake au wameshasitisha tena, naomba mwenye majibu ya uhakika aniambie
Mkataba ukiisha au kufukuzwa kazi ndo wanasema ukae miezi 6 baada ya mkataba au kufukuzwa kazi!I mean wale wanaofanya kazi kwenye sekta binafsi, baada ya kukosa kazi huwa wanachukua kile walichokusanya
Tatizo pesa zetu wanazifanyia maendeleo yao,kwanza huu utemi sijui utakoma lini ndio maana kuba wazee hawakutaka kabisa mambo haya,maneno meengi mazuri ya kukuvutia ili uwe mwanachama ila ukiingia unakiona cha motoMkataba ukiisha au kufukuzwa kazi ndo wanasema ukae miezi 6 baada ya mkataba au kufukuzwa kazi!
Baada ya miezi sita unapeleka termination or end of contract letter NSSF kwa ajiri ya kuomba pesa zako!
Utaandika barua yakuomba mafao yako! Baada ya hapo unaambiwa utapigiwa simu! Hiyo simu kupigiwa sasa inaweza chukua mwaka! Kwa kifupi hawa watu ni wahuni tu
Utapewa form,unapeleka kwa mwajiri wako aliyekufukuza,kuisha mkataba,akujazie! Baada ya hapo kaa nyumbani hadi wakupigie simu
Serikali pia inazichukua pesa nyingi sana toka hizi mifuko,inafika kipindi wanakosa pesa zakurudisha na ndo maana wanaanzisha figisu figisu!Tatizo pesa zetu wanazifanyia maendeleo yao,kwanza huu utemi sijui utakoma lini ndio maana kuba wazee hawakutaka kabisa mambo haya,maneno meengi mazuri ya kukuvutia ili uwe mwanachama ila ukiingia unakiona cha moto
Ipo siku na nyakati,namba itasomeka na kwao pia wanafanya haya kwa kuwa tu wamejiaminisha waTZ ni wanyonge,tunaishi kwa shida zetuSerikali pia inazichukua pesa nyingi sana toka hizi mifuko,inafika kipindi wanakosa pesa zakurudisha na ndo maana wanaanzisha figisu figisu!
Mpunga ni wetu kuupata hadi wajisikie! Hawa watu shida sana!