Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,035
- 22,713
Katika kitabu cha Hosea 4:6,Mungu anasema maneno haya,"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa."Maneno haya ya Hosea ni kweli sasa kuliko wakati wowote mwingine.Watu wanaangamizwa na sumu mbali mbali,huku wengi wengine wakipotea kiroho.Ni kweli sasa hasa kwa sababu yapo makapuni mengi yanayozalisha bidhaa mbali mbali kwa nia nzuri na ovu. Vipo pia vikundi vingi sasa vya dini kuliko zamani ambavyo vinaeneza uzushi mwingi wa kupoteza.
Kwa bahati nzuri ni rahisi mara nyingi kuyatambua makampuni haya na vikundi hivyo kwa kuwa makampuni hayo na vikundi vina nembo na vinatumia pia alama mbali mbali kwa sababu mbali mbali.Alama hizo zipo pia kwenye bendera za maarifa mbali mbali. Inasemekana kwamba taifa la Marekani ndilo linaloongoza duniani katika matumizi ya nembo hizo.
Nembo hizo na alama ni message tosha juu ya nia ovu au nzuri ya makampuni hayo na vikundi kwetu.Kwa hiyo ni muhimu kuzifahamu alama hizo na maana ya nembo hizo,ili somehow tuweze kujihami.
Leo nita wakilisha nembo hizo na inshallah Mungu akijalia nitawakilisha maana ya nembo hizo.
Kwa kuwa alama hizo na nembo ni nyingi,na kwa sababu sitaki kunyooshewa vidole, nimeona ni vema kila mtu akaziangalia na kuweza ku-asses kama mahali alipo na anachofanya ni appropriate kulingana na kusudi lake maishani.
Kupata "alama hizo" au symbols, tafadhali google "Satanic symbols"halafu nenda kwenye "images." au fuata link hii satanic symbols - Recherche Google
Nembo na alama zingine zina vielelezo vya ziada,kwa hiyo kila unapofika kwenye nembo au alama click ili upate vielelezo hivyo.
Nitangulie kusema kwamba sina nia yeyote mbaya na kampuni yeyote, kikundi chote chote cha dini au mtu,nia yangu ni ku-impart knowledge, so that people can make informed decisions.