ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,300
Itifaki izingatiwe,na kwa imani zenu wote ruksa kuchangia.
Kuna hii tabia hii ya kudhalilisha wanawake eti tu kwa sababu ya mavazi waliyovaa. Hasa mwezi kama huu wa toba kwa baadhi yetu.
Jambo linaloniumiza kichwa ni hili hapa,mama ni mama tu hata akiwaje ni mama yako.wapo waliozaliwa na makahaba,wako waliozaliwa nje ya ndoa,wako waliozaliwa na walevi na Hawa wote hawakuchagua pa kuzaliwa wala hawawezi kubadili ukweli,
Sasa mfano wewe mama yako ni changudoa kiasi hata baba halisi aliyekuzaa hajulikani,utajisikiaje watu wakikuambia wewe mtoto wa malaya! Utapigana nao au utampiga huyo mama yako,au utachukua hatua gani hasa.