Sabode
Senior Member
- Apr 11, 2008
- 160
- 23
Ndugu wadau wa jamvi, siku chache zimepita tangu nisikie habari kuwa EWURA wametoa muda wa siku 21 juu ya iwapo kampuni ya IPTL iruhusiwe ku - renew leseni yake ya biashara ua laa!
Miaka kadha iliyo pita kampuni hii ilizua mijadala moto moto kwa jinsi ambavyo mkataba wa biashara iliyo ingia na serikali yetu au na tanesco ulivyo kuwa mbovu.
Kwa jinsi nilivyo sikia japo kwa uchache sana, ni kuwa UWURA inasubiri maoni au/na pingamizi kutoka kwa wadau ili waamue kuwa watoe leseni au laa.
Swali langu ni jee? EWURA inafanya kazi kwa maslahi ya nani? Maana ni kama hawana kabisa nguvu ya kutoa maamuzi juu ya kuwa watoe leseni au wasitoe!!
Pili IPTL bado wana mkataba na tanesco mpaka mwaka 2022 au 2023 hivi, je ikiwa hawata pata leseni maana yake ni nini?
a. mkataba na tanesco unakufa automaticaly ?
b. lazima wapate leseni ili kukamilisha muda wa mkataba na tanesco?
c. iwapo watu/wadau hawatatoa pingamizi kwa maandishi ndani ya siku 21 EWAURA hawana la kufanya ila ku-renew leseni?
d. ipi ni anuani kwa ajili ya kutoa maoni/pingamizi?
e. nani anartibu utolewaji wa maoni?
f. nani ni hakimu iwapo EWURA atajitetea dhidi ya pingamizi toka kwa wadau?
najaribu kujiuliza tu, na je tanesco hana uwezo wa kulisemea hili? Maana moja kati ya mizigo ya kipunda ambayo tenesco ilikuwa imepagazwa ni capacity charge kwa IPTL au wao hawana mamlaka ya kulalamika.
Na hawa IPTL do they real still have the nerve kuendelea na biashara na tanesco? anyway najiuliza tu!!! huku nikiwaza kwa sauti.
Wanajamii naomba msaada kufahamishwa juu ya hayo ninayo jiuliza.