Timu ilienda misri kufanya nini wakati mechi chamazi

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
1,002
955
Sijaona maana yeyote kuipeleka misri wakati mechi imechezwa Chamazi.kama ni kuzoea hali ya hewa na uwanja tungekaa chamazi muda wote matokeo yake timu nimeiona inarukaruka uwanjani.bila goli la samatta jana ilikuwa chali
 
Tff ya malinzi hovyo kabisa, na nilitamani wapoteze match maana wanapenda sifa za kijinga
 
Sijaona maana yeyote kuipeleka misri wakati mechi imechezwa Chamazi.kama ni kuzoea hali ya hewa na uwanja tungekaa chamazi muda wote matokeo yake timu nimeiona inarukaruka uwanjani.bila goli la samatta jana ilikuwa chali
Hii timu siielewi kabisa yaani
 
Rais wa mpira mwenyewe haeleweki itaeleweka team? Malinzi mwenyewe chai tu.
 
Back
Top Bottom