Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Kimsingi huwezi kusema nimefuta kodi Fulani kwa kuihamishia sehemu nyingine, ni lazima uwe ama umeifuta kabisa au umeibadilishia mfumo wa utozaji wake.
M/vehicle road licence kwa mujibu wa waziri ni kwamba imefutwa na ni kweli imefutwa kwa sababu huwezi kuikusanya kupitia mafuta ambayo yananunuliwa na watu wengi wakiwemo wenye matumizi tofauti na nagari.
Kwa kuwa sasa hii kodi mpya ya kwenye mafuta hata Mimi kwenye machine ya kukatia majani na yule kwenye jenereta na hata wewe kwenye machine ya kusaga nafaka utailipia, ni vema tukaijua inaitwaje kama ni engine levy au naniliu maana haipaswi kabisa kuitwa motor vehicle naniliu!!
Nawasilisha.