Some women

Satuuuu

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
1,849
1,993
750424aa4487302182960520b5b57bda.jpg
 
Jf Imekuwa Ya Hovyo Cku Hz, Fresh From Colleges Wamejazana Humu Na Post Zao Utafkr Watoto Wa Darasa La Sita.
 
Jf Imekuwa Ya Hovyo Cku Hz, Fresh From Colleges Wamejazana Humu Na Post Zao Utafkr Watoto Wa Darasa La Sita.
Kwahiyo kosa letu ni kumaliza chuo? Usijumlishe wote mkuu, wengine posts zao ziko vizuri ila sisi wengine ndiyo akili bado imechoshwa hivyo tunaandika kila utumbo unaokuja kichwani bila kuuchuja.
 
Back
Top Bottom