BAVARIAN
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 222
- 168
Waanajamvi kwa bajeti hii ya mwaka huu na mwaka ujao mie sielewi kabsa saa zingine unaweza kupandwa nna hasira ukatamani heri usingekuwepo tuu ,,, mfano road licence kwa mwaka 2016/2017 ni shilingi 290,000 hapo ni 2016/2017 xaxa kwa bajeti hii ya 2017/2018 wameweka shilingi 300 kila lita sasa kwa mfano truck inatumia lita 3000 kwa mwez i inakuwa ni shilingi 900,000×12=10,800,000. co kiufupi manake raoad licence imepanda ×38 na hii inamgusa hata mtoto aliyoko tumboni ujue,,,,,,, haki ya mungu mm kesho nafuatilia zangu ripoti m'badala ya kambi ya upinzani bungeni na sifatiliii ropoti ya pili ya makinikia coz naona kama ni mbinu tu ili tusifatilie ripoti m'badala ya upinzani abayo naamini ndiyo itakayoakisi maisha halisi ya watanzania,,,, je ww mwenzangu utatega sikio wapi?