ACACIA mlikuwa wapi kubadili jina mpaka tarehe 4 mei 2017

masupio

Senior Member
Sep 16, 2014
179
201
Kama kweli ACACIA mlikua na nia nzuri na nchii hii na Watanzania, je! mlikua wapi kubadili jina lenu ambalo tangu enzi na enzi tunaliona kwenye magezeti, tv, mitandao, mabango mbalimbali ya matanganzo mpaka kufikia
IMG-20170612-WA0044.jpg
eti tarehe 4 Mei, 2017. Shame on you. Ukiligema linywe.
 
HATARI SANA ILA LAZIMA NCHI HII INUFAIKE NA RASRIMALI ZAKE KAMA MATAIFA MENGINE.
 
Kweli English ilikuja kwa ndege soma content ya hiyo barua ndo utaelewa, wanadai jina hilo la acacia lilikuwa linatumiwa na kampuni nyingne
 
halafu inakumbushia barua yao ya miaka miwili nyuma.
Bado watanzania hawajaelewa hii imekaaje, African Barrick gold ndo tunatakiwa tudeal nayo ila acacia jina limeanza kutumika kwenye kampun mwezi uliopita ila jina lilikuwepo kama idea tu
 
Back
Top Bottom