Swali: Maji ya bahari huenda wapi?

Swali: Maji ya bahari huenda wapi?

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
6,417
Reaction score
12,985
Dah! Ni miaka mingi ili swali huwa nikiuliza huwa nakosa majibu sahihi kwamba maji ya baharini huwa yanaenda wapi maana kuna muda huwa yanaondoka na kuna muda huwa yanarejea
Je huwa yanaenda wap?
 
mbona Rahisu sana maji ya bahari yenyewe hutokana na na vyanzo vingi kama mvua na mito ila maji ya bahari huondoka kipindi cha jua kali kwa mtindo wa mvuke na kwenda kuunda mawingu ambayo husukumwa na upepo na kwenda nchi kavu napo hunyesha tena kama mvua na kuingia kwenye vyanzo
 
Ok kwa kifupi tu....tunaamin kwamba dunia inazunguka means tunatofautiana masaaa kat ya nchi na nchi had bara na bara... Ko this means by the tym yanapungua huku Kuna sehemu yameongezeka kulingana na mzunguko and vice versa... Chukua mfano wa dumu ukililaza upande mmoj maj yanajaa upande uliojazia... Ndo ivo ivo na dunia...
 
Kwan darasa la nne A.. hukusoma kupwa na kujaa kwa maji bahari ambayo inasababishwa kani ya msukumo kati ya dunia na mwezi... au mwenzetu ulisoma ualimu pasipo elimu (UPE)
 
Naona ndio kumekucha kwako...mi ngoja nijisogeze kitandani mkuu..Usiku mwema
Kazi zetu za Ulinzi hizi ndio muda wetu wa kuwa macho kadri inavyowezekana.

usiku mwema na kazi njema huko room kwenu.
 
36708f61be1f6b1422387f0693ddbf8e.jpg
 
swali langu ni hili kwanin hayakauki au hata kupungua basi......
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mbona Rahisu sana maji ya bahari yenyewe hutokana na na vyanzo vingi kama mvua na mito ila maji ya bahari huondoka kipindi cha jua kali kwa mtindo wa mvuke na kwenda kuunda mawingu ambayo husukumwa na upepo na kwenda nchi kavu napo hunyesha tena kama mvua na kuingia kwenye vyanzo
Yaani umejibu kijinga kweli . [emoji1] [emoji1] [emoji1] .utakua hujui hata bahari ni nn ?...
Kinachozungumziwa hapo ni Kupwa na Kujaa.
 
Ok kwa kifupi tu....tunaamin kwamba dunia inazunguka means tunatofautiana masaaa kat ya nchi na nchi had bara na bara... Ko this means by the tym yanapungua huku Kuna sehemu yameongezeka kulingana na mzunguko and vice versa... Chukua mfano wa dumu ukililaza upande mmoj maj yanajaa upande uliojazia... Ndo ivo ivo na dunia...
Mkuu kama vile inaukwel hii
 
Back
Top Bottom