Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,608
- 30,459
Tuko ndani ya kituo, traffic wako na kila gari inakamatawa inavyoingia kushusha abiria.
Cha ajabu hata dereva wa basi nilie kuwa nae anaulizwa leseni anajibu sina bana mcheki boss wako pale.
Tuna kazi ngumu sana, baadae naona basi zote zinaondooka bila hata kuandikiwa fine. Nawaza basi tano mnakamata zina shida mnaziachia, kuna nini kinaendelea kama sio upotevu wa mapato?
Waheshimiwa wa TAKUKURU hebu tokeni ofisini mje kituo cha mawasiliano please!!