Hitimisho la mchanga wa madini

Stream line

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
393
239
Nimesikia mengi kuhusu ripoti ya mchanga wa madini. Kwa ufupi watu wachache wenye uwezo wa kusikika ktk vyombo vya habari wanaonyesha kutofurahishwa na ripoti hizo. Waliobaki ambao ni wengi mno mno wameonekana kufurahishwa na ripoti hiyo ambayo kwa hakika ni nzuri. (imetuweka huru watanzania).
Nilichojifunza ni kuwa hawa wachache hawana upendo na nchi yetu. Na wanaonekana kuwa wamepewa 'kitu' ili kuitukana serikali. Linalonishangaza hawa wachache ndo miaka ya nyuma walikuwa wanaitukana serikali kwa usiri ktk madini.
Mtazamo wangu: Tusiwajali. kwani kwenda kinyume na waliowengi ni yao kawaida. Serikali naamini mmejipanga. Endeleeni. Rais alisema yeye ni dereva wa lori. Tunao elewa TUMUUNGE MKONO KWA KILE akifanyacho CHENYE MASILAHI KWA TAIFA
 
Mie na muunga mkono Rais na ninapendekeza kwenye maswala ya mikataba pindi bunge linavyo kuwa linapitisha mikataba ya serikari na wawekezaji kila mbunge anaesema ndiooooh asign ili kundoa ndio za wasio elewa nini idhinisha.na zile ndio zinaambatanishwa ni mikataba kwa ajili ya Hatua zaidi iwapo kutakua na upotoshaji.
 
127d42aa696d2f4f405a9a28e8ffbfed.jpg
 
Back
Top Bottom