mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,238
Habari.
Kwa ufupi kabisa niseme tu binafsi nilifika Dsm miaka 6 nyuma nilizikuta na kuzifahamu products kutoka kwa Barharesa almaarufu Azam tu, huku Mo akiwa anatetea taaratibu,ila kwa sasa naweza sema speed ya Mohamed Enterprise ni ya kasi ya ajabu.
Sasa naona mapinduzi makubwa ya bidhaa za MeTL sokoni, aisee kalishika soko kisawasawa tena rapidly sana , bidhaa za Azam zinaonyesha kuporomoka kimauzo taaratibu.
Si kwa bidhaa hizi za vinywaji na vyakula tu , jamaa sasa kaenda mpaka kwenye Friji,na Vifaa vingine vya majumbani.
Ukipita pita mijini huko Ukipepesa huko na huko lazima utakutana na neno MO ama MeTL.
My take
Yapo mengi ya kujifunza katika ushindani wa soko kutoka kwa huyu mtu.
NB: Sijamtumia Bakhresa kwa maana mbaya(anaweza pia kujitafakari kutokana na maoni ya wateja wake tunavyoona kudhibiti ushindani huu), bali nimemtumia kama Refference ya Mshindani mkubwa kibiashara zidi ya Mo..
Hongera sana Mo..