Msaada: Kowak Girls na Ikizu Secondary naomba mawasiliano

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
Heshima mbele wadau.
Naomba kupata mawasiliano kwa maana ya namba ya simu ya Kowak Girls Secondary School na Ikizu Secondary School. nisaidie kupata namba hizo nijaribu kupata nafasi ya uhamisho kwa kijana.
 
Back
Top Bottom