ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
wakuu
katika kuendelea na utekelezaji wa azimio la wahariri, leo nijaribu kubadili channel ile tarifa ya habari na kuweka star tv
ajabu nikakuta wanarusha habari ya huyu Bashite, yaani kumbe hiki kituo humrusha na kumtangaza lakini jamaa kafifia saaaaaana wala hata hasikiki aiseee
nitoe rai yangu kwa huyu Bashite na sahara media kwa ujumla wake, hii kitu hamtafanikiwa kamwe zaidi iyo media imepoteza mvuto tu
bora mngewachana na Bashite asubiri Tv yake kupitia kwa jina la Le mutuz kwani yule jamaa (lemutuz) hana pesa ya kuinvest vitu kama hivyo!
hutafanikiwa bashite, bora ukae kmya