Unafiki na usaliti wa binadamu

Gatekalii

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
283
500
Habari zenu wana JF...

Kama kuna viumbe hai viovu na vibaya duniani binadamu atakuwa namba moja. Maisha yangu yote nilikuwa sijafahamu vizuri tabia na mienendo ya binadamu. Japo sina uhakika kama ni binadamu wa aina zote wenye tabia hiyo au ni sisi ngozi nyeusi.

Jambo la Acacia ndilo lililonifumbua macho juu ya unafiki, udhalimu na usaliti wa binadamu kwa binadamu wenzao.
Mheshimiwa JPM aliamuru makontena ya kusafirisha makinikia yakaguliwe ili tujiridhishe juu ya kile kilichomo ndani kama ni kile walichokisema acacia. Ndio, hili lilikuwa ni jambo jema, na ilitupasa tumuunge mkono mheshimiwa.
Lkn cha kushangaza kuna watanzania waliopinga hatua hiyo.

Uchunguzi umefanyika na imegundulika kwamba tunaibiwa sana. Chakushangaza pia kuna watanzania bado wanaibeza serikali.
Swali.

Ni watu wa namna gani hawa?
Wanataka nini hawa?

Nilichojifunza.
Usimuamini mtu yeyote kufikia hatua ya kumueleza plan zako ama maisha yako na mbaya zaidi mema unaowatendea hauhesabiki mbele ya macho yao.


Kazi kwenu wandugu.
 

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
26,145
2,000
Tena kiongozi wa wasaliti na wanafiki Duniani ni Tundu lisu
Huyu ni janga
Kiukweli kuwa na mtu huyu kwenye Taifa ni hasara kubwa kwa taifa.
Mtugani anapinga damu yake!
Hata ushetani haupo hivyo huyu aorodheshwe kama Adui wa Taifa
 

goldie ink

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
5,651
2,000
Some times it better to be yourself and have your own things.
Trust no body mxtha fxcka..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom