Makinikia cinema mpya ya EPA

ngugi wa thiongo

Senior Member
Aug 22, 2013
106
69
Haya watanzania wenzangu mabingwa wa kushangilia na wepesi wa kusahau!!!mwizi anakuja unamkaribisha unampa chai anakwambia atakulipa alichoiba kiasi gani,lini,wapi na kwenye acc.hipi until further noticed!! Mjadala unalazimishwa kufungwa kwenye media kama tulivyoona Jana pia patafata bungeni kutapigwa makofi kama kawaida!!tutasahau maisha yataendelea!!hii ndio Tanzania yangu!!na hii ndio CCM!!!
 
Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe.

Natuendelee kumtumbulia macho magufail akilialia, kilio chetu kitakuwa kikubwa zaidi tutakapobaini kuwa hakuna mtanzania atakayepata Noah!!!
 
Back
Top Bottom