Nifanyeje ili niwe mchoyo?

mexico 1980

Member
May 15, 2015
68
50
Nimechoka kuombwa ombwa.
Mara pikipki, mara Gari mara wanikope pesa kote huko nashindwa kukataa. Natoa huku roho inauma. Mafuta niweke Mimi, pikipki waendeshe wao! Aaaarrrrggggg nipeni dawa jamani ili niwe mchoyo.
 
Hongera inaonekana wewe tajiri ee,una pikipiki,una gari,pesa unazo tele.

Cha msingi acha kujionesha una hela,kama una familia na watoto ukiombwa pesa singizia majukumu ya kulea familia mfano ada za watoto,matibabu nakadhalika
Asante kwaushairi mzuri ila pesa sinaninazo za kawaida
 
Nimechoka kuombwa ombwa.
Mara pikipki, mara Gari mara wanikope pesa kote huko nashindwa kukataa. Natoa huku roho inauma. Mafuta niweke Mimi, pikipki waendeshe wao! Aaaarrrrggggg nipeni dawa jamani ili niwe mchoyo.
Naomba uniazime gari kesho asubuhi ikiwa na mafuta kiasi, kama haita wezekana basi fanya kuniazima pikipiki ikiwa na mafuta ya kitosha
 
Niadopt niwe mdogo wako mkuu wakiomba unasema mimi nina shida navyo.
 
Back
Top Bottom