Kwa hii Issue ya Madini na Mchanga Hata Wenye Pua Ndefu Wanatushangaa

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,909
Kusema Ukweli Kwa Jinsi tunavyopingana sisi kwa Sisi, Yaani Wasomi Kwa wasomi, Layman kwa Layman, Viongozi kwa Viongozi, Hata Wazungu Wanatushanga Kuwa ni Watu Gani Ambao Wasogoana kwa Vitu Ambavyo Rais Wao Anavipigania Wao Wanapingana.

Hapo ndipo tunapoonyesha kuwa Uzao Wetu ni Manyani tu na Misokwe Kwa Kweli.. Africa Duu
 
Aisee, kwahiyo sie ni manyani sio? Unajua kuwa kiongozi wa manyani ni nyani pia? Acha kejeli kijana
KINACHOWAFANYA TUDHIHAKIANE NI KITU GANI? NIKUJIONA WENGINE WASOMI SANA AU KUJIONA TUNAJUA SANA AU NINI? SUALA LA KIZALENDO WATU WA TAIFA MOJA NA WENGINE WALIKUWA WANAPIGANIA HILO HILO MIAKA YA NYMA LEO HII WANALIPINGA HUONI KUWA HATUJAKAMILIKA KIMANTIKI? NIPO TAYARI KUSAHIHISHWA
 
walishindwa vipi kuonyesha uzalendo wakati wanasaini mikataba ya kipumbavu? Au wakati wa kupitisha sheria za kijinga bungeni ?Hakuna malaika aliyeshuka toka mbinguni wote hawa walikuwepo,na zaidi walikuwa wagonga meza mashuhuri
 
Kusema Ukweli Kwa Jinsi tunavyopingana sisi kwa Sisi, Yaani Wasomi Kwa wasomi, Layman kwa Layman, Viongozi kwa Viongozi, Hata Wazungu Wanatushanga Kuwa ni Watu Gani Ambao Wasogoana kwa Vitu Ambavyo Rais Wao Anavipigania Wao Wanapingana.

Hapo ndipo tunapoonyesha kuwa Uzao Wetu ni Manyani tu na Misokwe Kwa Kweli.. Africa Duu
Mwanasheria msomi nguli Tundu Lisu alifikiri atasifiwa na wazungu.
 
walishindwa vipi kuonyesha uzalendo wakati wanasaini mikataba ya kipumbavu? Au wakati wa kupitisha sheria za kijinga bungeni ?Hakuna malaika aliyeshuka toka mbinguni wote hawa walikuwepo,na zaidi walikuwa wagonga meza mashuhuri
Vip kama nia hiyo unayo ila kwenye baraza wewe pekee ndo hukubaliani si inabidi usubiri siku ukishika rungu!
 
Back
Top Bottom