Kuna maajabu mengi kuhusu mnyama Paka

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,719
1,782
Myths za mnyama Paka ni nyingi
Kwamfano sijawahi kumwona paka aliyekufa kifo cha kawaida(ukiacha wale wanaogongwa na magari barabarani)

-Nasikia Paka unayemfuga huwa anatoweka tu ghafla baada ya muda Fulani na kwenda "kujifia" huko kusikojulikana

-Vilevile sijawahi kuona Paka wakifanya mapenzi hata gizani tu

Wataalamu waje watufafanulie

Cc MshanaJr
 
Sio kweli paka wanakufa kama viumbe wengine nilishawahi kumuona paka wetu alipokufa ila hakuna ambaye alijua sababu ya kifo chake maana tulikuta tumbo lake limevimba achilia hiyo paka wezi waliuwawa sana mtaani kwetu, kuhusu kujamiana wanafanya ila paka ni wasiri mno kama wanavyojisaidia hawapendi kuonwa lakini hilo pia nimelishuhudia mara kadhaa
 
Kuni swala la mapenzi hii picha itatoa jibu
9b9f85c400d69aad544e129a5a53187b.jpg
 
Myths za mnyama Paka ni nyingi
Kwamfano sijawahi kumwona paka aliyekufa kifo cha kawaida(ukiacha wale wanaogongwa na magari barabarani)

-Nasikia Paka unayemfuga huwa anatoweka tu ghafla baada ya muda Fulani na kwenda "kujifia" huko kusikojulikana

-Vilevile sijawahi kuona Paka wakifanya mapenzi hata gizani tu

Wataalamu waje watufafanulie

Cc MshanaJr
Myth za paka ni nyingi
-inasemekana ana roho saba/tisa
-paka mweusi anatumika kwa shughuli za kichawi
-ni mnyama msafi na mstaarabu sana
-anapenda sana privacy hasa kwenye ishu za ngono
-ni mmojawapo wa wanyama wenye kinyaa mno
50490060.jpg
na kwa sehemu kubwa paka wengi wa kiume ni vibamia
persisterandefrenulum.png
 
Myths za mnyama Paka ni nyingi
Kwamfano sijawahi kumwona paka aliyekufa kifo cha kawaida(ukiacha wale wanaogongwa na magari barabarani)

-Nasikia Paka unayemfuga huwa anatoweka tu ghafla baada ya muda Fulani na kwenda "kujifia" huko kusikojulikana

-Vilevile sijawahi kuona Paka wakifanya mapenzi hata gizani tu

Wataalamu waje watufafanulie

Cc MshanaJr
Mie nimefuga paka tangu udogoni. Paka pekee niliyeuona mzoga wake ni yule niliyemlalia nikiwa usingizini akafa.

Zaidi, paka wangu huwa wanapotea tu.

Kwa sababu mara zote nafuga paka wa kiume, huwa wanaenda kutafuta mademu mbali, sijawahi kuwaona wakitiana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom