Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Hapana. Kuna kosa kubwa hapo. Hapa ni sawa na kusema wageni wote wa kikristo wapate ruksa ya Baraza la Maaskofu Tanzania. Watendaji wengi wa serikali wanaelewa BAKWATA ni taasisi ya kiserikali. BAKWATA ni taasisi ya kidini kama zilivyo taasisi zingine zilivyosajiliwa na serikali. Haipendezi kwa Taasisi moja kuhodhi dhima ya taasisi zingine.Utawasikia tunaonewa!
Hapana. Kuna kosa kubwa hapo. Hapa ni sawa na kusema wageni wote wa kikristo wapate ruksa ya Baraza la Maaskofu Tanzania. Watendaji wengi wa serikali wanaelewa BAKWATA ni taasisi ya kiserikali. BAKWATA ni taasisi ya kidini kama zilivyo taasisi zingine zilivyosajiliwa na serikali. Haipendezi kwa Taasisi moja kuhodhi dhima ya taasisi zingine.
Kuna watu wanataka kuanzisha migogoro kati ya taasisi aidha kwa kujua au kutokujua. Hivi hawafahamu kwamba wanataka kuchonganisha taasisi? Unakwenda BAKWATA kuomba kibali, wanaanza kukuzungusha, hivi kutakuwa na maelewano!!?Haswaa!
Toka lini Bakwata wakawa wawakilishi wa Waisilamu wote Tz. Je Sunni nao wapitishe wageni wao kupitia Bwakwata!
Wameaanza kuvulia sasa wanataka kutumia Uhamiaji ! Uhamiaji kaeni chonjo mtakuwa jipu bila kujijua.
Hujui Bakwata na Serikali ni kama chanda na pete?Hapana. Kuna kosa kubwa hapo. Hapa ni sawa na kusema wageni wote wa kikristo wapate ruksa ya Baraza la Maaskofu Tanzania. Watendaji wengi wa serikali wanaelewa BAKWATA ni taasisi ya kiserikali. BAKWATA ni taasisi ya kidini kama zilivyo taasisi zingine zilivyosajiliwa na serikali. Haipendezi kwa Taasisi moja kuhodhi dhima ya taasisi zingine.
duh!!!! Kumbe asee nmejua LeoKwanini serikali kila Mara kuingilia internal affairs za waislam, mbona hatuoni hayo kwenye wakristo.
Kuna maafisa wa serikali hawajisikii raha kama hawajauchokonoa Uislam.
Bakwata yenyewe ni tawi la CCM kama ilivyo UWT,UVCCM.
Kuna mambo yanaudhi sana
Jadili Kama Great thinker!Utawasikia tunaonewa!
Ni kweli. Afadhali serikali imeliona hili. Wasijeingizwa wenye itikadi kali na wachochezi wa kidini.
Unaanza umang'aa eeh!Na Kwa nini wawe waislamu tu na sio Dini nyingine kuna agenda gani hapa?????????