Msaada kuhusu laini ya TTCL ya Chuo

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,410
3,548
Wakuu naombeni mnijuze nitapataje laini ya chuo ya TTCL maana mimi sina kitambulisho na sio mwanachuo. Jamaa laini zao wanabando na kasi nzuri.

Je nitaipataje jamani, mwenye kunisaidia maana hawa mawakala wao wa Posta wanakomaa wanataka hadi ID ya chuo.

Msaada tafadhali...
 
Kwa style hii lazima tuibiwe madini na maliasili bila kupenda
 
Back
Top Bottom