Namna ya kuanzisha entertainment company

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,286
15,525
Wakuu salama?
Nataka kuanzisha kampuni ya burudani Naomba ushauri kama kuna mtu anajua taratibu zake zikoje na wapi pa kuanzia maana hata brela website yao sijaona hii kitu zaidi ya sole propriator,limited company, partneship etc. Natanguliza shukrani
 
Unaweza tafuta watu wa consultation sehemu ulipo watakupa A B C za kuanzisha kampuni
 
Back
Top Bottom