Hello salamu waungwana,
Kuna jambo flani limekua likintatiza sana nimekua nikijiuliza nini chanzo cha waTz wengi kuikana nchi yetu na kupiga teke utaifa hasa linapokuja swala la kuonesha wazi...
Katika pitapita zangu mitaani nilikutana na mjadala huu mitaani
Watu walikuwa wakijadili....
Kuna watu walikuwa wanasema kutokana hali ya maisha ilivyokuwa ngumu bila ya mtu Kuwa
"KAUZU NA...
Hivi kwa nini vitu vya serikali ya Tz huwa vya hovyohovyo?Tbc tv na radio hovyoo,timu ya mpira ya serikali iitwayo taifa stars nayo hovyoo kabisaa na hili gazeti nalo.pumbavu,yani huyu chief...
Serekali ya Smz imekuwa mwiba kwa wananchi zidi ya vitendo vya utekaji na unyanyasaji unao tumiwa na vyombo vya Dola kwa Baraka zote za Raisi na makamo wake.
Hakuna shaka kuwa vyombo hivi...
Habari wakuu,
Mvurugo wangu ni huu hapa...Hivi mfano ikatokea mtoto amefikisha umri wa mwaka mmoja toka kuzaliwa eneo fulani labda tuseme Dar (Ubungo) kisha ukamuamisha ukampeleka Mara(Majita)...
Shahidi wa nane katika kesi ya kughushi mukhtasari wa serikali ya mtaa wa Levolosi iliyofunguliwa na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kasulu ,Dahn Makanga dhidi ya mume mwenzake, Mathew Mollel...
Kwa mtizamo wangu upinzani, ccm na serikali yake wote wanafanya jambo jema na wote hawapendi tuendelee kuibiwa na wawekezaji kutoka nje lkn pia wawekezaji wa ndani.
Kinacholeta matatizo ni...
wakuu kwa wenzangu ambao tunatumia sana public transport "daladala" hapa dar naona kwa sasa kuna magari mengi yameandikwa uwadar,nataka tu niulize kwa wajuzi nini kimejicha hapo kwa sababu mwaka...
Enyi Barrick--ACACIA, wahisheni hayo mapesa mliyosema mtailipa nchi yetu. Tunayataka mapesa hayo hasa sisi vijana ili tujiajiri na ili tuweze kujikimu kimaisha. Ajira hakuna kwa sasa, vijana...
Vita halali ya kupigania utajiri wa Nchi ikiongozwa na Jemedari mwenye MAARIFA NUSU, anayeshauriwa na makamanda wenye ELIMU NUSU na kushangiliwa na wanasiasa Mazwazwa Kwa kutumia uongo wa dhahiri...
1. Mawazo yetu si tu yameporwa bali pia hayathaminiwi!!
Haki yetu kikatiba ya kuwakilishana imekuwa haki yao kujiwakilisha.
2. kikundi kidooogo cha watu kwa madai ya ridhaa ya kutuwakilisha...
Serikali ya Smz imekuwa mwiba kwa wananchi zidi ya vitendo vya utekaji na unyanyasaji unao tumiwa na vyombo vya Dola kwa Baraka zote za Raisi na makamo wake.
Hakuna shaka kuwa vyombo hivi...
"Ni kweli nilitia sahihi kama ripoti inavyodai,ila kwa maagizo ya boss wangu.Aliyeniagiza kutia sahihi ndiye huyohuyo aliyemuagiza yeye kuuza nyumba za umma.
Kwa hiyo kesi zetu zinafanana.Wapo...
Jamani Habari?natumai wazima kabisa.
Pamoja na kutokuwa mwanachama ama mshabiki WA Chama chochote cha kisiasa hapa nchini nimejikuta najiuliza haka kaswali kutokana na mambo kadhaa yanayojitokeza...
Salamu wana body.
Kwanza nianze kuwatakia waislamu wote funga njema ya mwezi mtukufu.
Leo kwa mara ya kwanza nimepita feri kupitia mwendo kasi, mara niliposhuka tu kivukoni terminal nikapatwa na...
Hapo kale kule kijijini mtu alikuwavakipiga yowe basi ujue kuna Shida pahala. .yowe lilimaanisha mwaliko wa kuomba msaada kwenye dharura fulani..
Kama ni jambo la jumuiya baragumu ngoma zumari...
Habari wana jf,
Nina tatizo kidogo jinsi ya kulipa mkopo wa kampuni tajwa hapo huu.Kampuni ya branch.Nilichukua mkopo sasa nashindwa jinsi ya kufanya malipo ya mkopo huu na ni Mara ya kwanza...
Licha ya zaidi ya Sh100 milioni kukutwa zikiwa zimehifadhiwa ndani ya nyumba iliyopo Mtaa wa Lumumba jijini Mwanza, Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji kililazimika kutumia lita 39,000 za maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.