Wakuu najaribu tu kujiuliza hivi tulishawahi kupeleka wataalamu kule South Africa au Ghana.. Ili tujifunze mikataba yao ikoje? Maana haiingii akilini kusaini mkataba wa madini yenye thamani kama dhahabu kuwa serikali itapata 4%halafu 96%wachukue wao?? Ile win win situation aliyoisema yule mzungu sielewi kabisa!. Ni kama anatukejeli vile! Nawaomba kuwakilisha wakuu!