Wakuu kwa wale wakazi wa Dar natafuta nyama ya pori (swala,kongoni etc) kwa ajili ya kitoweo nyumbani kwangu. Natafuta iliyo mbichi au kavu nikaipike mwenyewe. Mwenye kujua asaidie tafadhali.

Banana Ukonga kwenye zile pubs nyingi au ni-PM nikupeleke.